Ushauri unahitajika kwa dada yetu

Sijui kama utanielewa, ila nihivi... ni rahisi mwanaume kumuoa Mwanamke aliyemkuta SINGO yaan singo mazaa , KULIKO kuoa Mwanamke aliyemkuta ndoani,Kisha huyo mwanamke akavunja Ndoa yake ,ili aolewe na Mwanaume Mpya .


Vunja, baada ya miezi mitatu ,utaleta Mrejesho
 
In shaa Allah nikipata muda nitashauri KESHO NGOJA NIDIGEST KWANZA HAYA ULIYOYAANDOKA
 
Ulimpenda mtu alafu ukakimbilia kuolewa na mwingine

Majuto mjukuu,utanyooka 🤣🤣
 
Mkataa pema, pabaya pana mngoja...

Ushauri ni kwamba kama unataka amani ya moyo, achana na circle ya huyo mtu sijui unamuita mchaga...

Siku zote epuka kufanya hatma ya furaha yako iwe mikononi mwa mtu mwingine...

Siku huyo mchaga akija kukutenda, si ajabu tukakuzika...
 
Hii ni situation ya mabinti wengi mna haraka sana kama vile mnakufa kesho

Chukua kikombe kivunje then kiunganishe kama kitakuwa kama mwanzo

Unataka kuolewa na mtu uliyemuumiza moyo wake tena akafikia kukonda kwa ajili yaki

Dare it
 
Baki na ndoa yako sababu ukiondoka ndo utakua mwanzo wako wa kutangatanga. Ila unaweza amua kuendelea na mchaga wako kiaina huku ukimchuna taratibu na kujipunguzia stress. Hata mchaga akikumwaga unabaki kwako...ila ukivunja ndoa umeumia na huyo mchaga utamjua vizuri
 

Vunja ndoa kwanza utuletee mrejesho baada ya mwaka mmoja.
 
Uzi ufungwe. Umemaliza mkuu.
 
Nimesoma hii mada mpaka mwisho kwa sababu umesema mwanaume wa kichaga nikajua unanidhungumzia mie. Nilipomaliza kusoma nikajua sio mchaga Mimi kwa kweli Sina Cha kukushauri. Nachoshukuru ni kuwa sio mchaga Mimi niliyeongelewa😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…