Ushauri unahitajika kwa dada yetu

Kila mtu afanyie kazi on his/her marriage. Ndoa ni jasho na damu yani. Mama zetu mioyo imevuja damu sana kuwavumilia baba zetu. Kuna baba zetu pia walinyamaza na kuamua kupiga ulabu kwa sababu ya mama zetu.

Lakin wote walielewa ndoa ni nini. Wanacharurana mwisho wanakaa sawa mama analea watoto, baba anaendelea kutafuta kwa ajil ya waotto. Marriage is sweat and blood. If hauko tayar hata usijisumbue... USIOE wala KUOLEWA.
 
Sisi wanaume tunapenda na kutamani mwanamke kwa miezi mitatu tu, ujishafanywa miezi mitatu yaani siku 90 unabakia wa kawaida sana, na hapo mwanaume huanza kutulia kukusoma tabia zako na hapo hua tunaanza kuona tabia njema, kitachobaki kinakubeba ni tabia yako kwani kama ni uzuri ulishaisha kichwani mwa mwanaume kwenye miezi ile mitatu, kuhusu kua na wanawake wanaume wote wanachepuka labda awe hapati nafasi lakini atachepuka tu sema ndio wengine inakua siri anafuta na meseji na wengine hujisahau ndio hao meseji zinadakwa, wewe tulia kwenye ndoa yako, zungumza na mwenzako mtatue matatizo yenu usitarajie utapata furaha kwa ex zaidi ya revenge kubwa na utakuja ujute.
 
Mwamini Yesu uokoke!! Ndoa ikishafungwa, kinachoweza kutenganisha ni kifo tu.
 
Mm nadhani point ya msingi ya mchaga kwako ni kwamba akiwa na ww mambo yake yanaenda..,kama ni kweli basi inaweza ikaworkout..but at your own risk.
 
Mi sijaolewa ila ushauri wachagga, wapare Hawa watu ni wachukua nyota za watu.
Ulipoolewa uliepushiwa kutolewa sadaka.

Wale wanapenda kuuana .
Yaani maisha Yao Huwa ni ya misimh .
Kuhusu mumeo ni mchaga kamloga ili uachane naye hawawatu walichonifanyia ndio usingle huu ninao hadi sasa kwanza ukienda unazimwa na kitu unakuwa zuzu Unajiona uko powa ila nyota imeshaenda kwake.
 
Kwanza kama utakubali kuachana na mume wako kwa ajili yake, na yeye atahisi siku utalaghaika kwa ajili ya mwamaume mwingine.

Alaghaike mara ngapi mkuu si alishalaghaika akamuacha mara ya kwanza.

Kila siku mi hua nasema, mwanamke hata umpe nini, hata usimamie shoo kiasi gani, akija jamaa akimuambia NAKUOA baasi akili ya mwanamke hua inavurugika na anasahau kila kituu..!!
 
Tunaweza kudhani labda mtoa Mada amechanganyikiwa lakini huwezi Jua anapitia yapi kwenye ndoa yake. Hakuna aliyevaa viatu vyake

Imagine unakuwa na Mume mlevi, Malaya na asiyependa maendeleo. Unajikuta unaona fahari kuvaa Pete ya Ndoa lakini ukirudi ndani ni vurugu tupu.

Ingawa na mtoa Mada amefanya haraka kuingia ndoani na mtu ambaye hakupendana naye pasipo hata kuchukua muda wa kuchunguzana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…