Ushauri unahitajika kwa dada yetu

Baki na ndoa yako, mambo yake mchaga muachie mwenyewe...
 
Ajiandae kuanza kujipambambani yeye mwenyewe kama singo maza. Akiachika kwa huyo jamaa na kwa mchaga ataachika vilevile.

Wanawake na ndoa ni kama mwanaume na ngono.
Wanawake wakiahidiwa tu ndoa akili zao zinahama kabisaa.
 
HUYO MDADA ANA AKILI APAMBANE NA HALI YAKE MI NINGEKUWA MCHAGGA NISINGERUDIANA NAYE
 
Hakuna kitu km hcho ww hujarogwa , unamatatizo Yako binafsi Yan watu mkishafeli mnasingizia uchawi si ukaombewe mbona makanisa mengi tu
 
Kwanza mtoa mada Kaa mbali na ex wako alafu acha kumfatilia mumeo fanya mambo mengn peke Ako usimtegemee mumeo
 
Naona watu wamevurugwa na kutoa ya moyoni
Wengi wamekuwa na hasira sana kabla ya kuyachambua
Wenye Hekma ni wachache sana
Huyu kavurugika kama mtu yeyote anaeweza kushindwa maamuzi

Anahitaji ushauri sio matusi na kejeli maana haya huwa yanatokea sana na wengine wanauwana kabisa

Nafikiri kwa ushauri wangu usitafute sababu zozote za kumuacha mume wako wa ndoa kwani huyo wa kwanza alikuwa anapunguza uzito tu kwako

Hakuwa na Nia ya kukuoa hata mara moja bali ulikuwa kimada tu
Tunza ndoa yako na kama anataka kuongeza wa pili sawa kama maisha yanaenda hakikisha unajiendeleza kimaisha pia
Au bado unatamani lile duka?
Fungua lako ukae mwenyewe
 
Mchaga anakudanganya,wachaga hawaoi wanawake ambao wameishazalishwa na mme mwingine.
 
Hakuna kitu km hcho ww hujarogwa , unamatatizo Yako binafsi Yan watu mkishafeli mnasingizia uchawi si ukaombewe mbona makanisa mengi tu
Bora Yako wewe hujasingizia makanisa yapo nenda wewe ukasake mke wapili kwani shida ipo wapi??
 
pole dada kwa yaliyokukuta;na pia usijilaumu sana kwa uliyofanya kwa sababu hata mtu mwingine angeweza kufanya hivo kwa sababu kukaa na mwanamme ana kazi na bado hataki kukuoa lazima ikufikirishe kwa hiyo usijilaumu sana
ushauri wangu unahitaji kutulia kwanza na kuona kipi kitafaa usimwamini mtu kwa haraka sana,mara ya kwanza uliharibu kwa kuwa na haraka sasa usiharibu mara ya pili swala la mwanaume kuwa na mambo mengi ilo jambo linaweza kumtokea yeyote na usilihusishe na ex;mi naona hangaika kutatua changamoto za ndoa yako
 
Nimesoma hii mada mpaka mwisho kwa sababu umesema mwanaume wa kichaga nikajua unanidhungumzia mie. Nilipomaliza kusoma nikajua sio mchaga Mimi kwa kweli Sina Cha kukushauri. Nachoshukuru ni kuwa sio mchaga Mimi niliyeongelewa[emoji4]
Mkuu embu fafanua hapa kidogo,nimeshindwa kufumbua hili fumbo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ww msimbe tulia jua limeshazama hilo[emoji849],umekua single mama kwasababu ya ujinga wako,kwanza nyie wameru wa kisenge wakata barabara kwanza mlilaaniwa na wale wamisionari mliowaua
 
Sweetheart utabeba mabegi uhame Kila Kambi, ulishamess up so ajabu wewe ndio chanzo Cha mumeo kuongeza make wa pili na huyu mumeo hukumpenda ulipenda ndoa, all the best
 
Komaa na ndoa bidada na mawasiliano na ma X koma
Alaf hii kitu ya kuwa marafiki kwa jinsia tofauti hii [emoji854]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…