Ushauri unahitajika kwa huyu Kaka tafadhali

Pole yake sana...

Kua na majina ya mzazi ambao siyo wako siyo issue...

Issue ni baba halali wa hao watoto... Amtafute mama watoto amshughulikie...


Cc: mahondaw
 
Uyo mwanamke hajielewi kabsa,Mimi nisingeusika na chochote ata kwenda apo shule nisingeenda as long wanangu wapi salama.
 
Pamoja na kwamba hii ni stori ya kutunga, huyo William hana sababu ya kuumiza kichwa chake...

Shule imtafute mtu aliyewaandikisha hao watoto shule, na mtu ambaye amekuwa akiwalipia ada za awali...

Shule ifanye hivyo kwa msaada wa jeshi la polisi na idara ya ustawi wa jamii au hata ofisi ya mkuu wa mkoa/wilaya...
 
Ukikosea kuoa sahau.Jambo hili linahitaji hekima wala si kubwa kihivyo kama waliridhia kutengana na mashahidi wakawepo+DNA
 
Mkuu kitu kinaitwa presumption of death
Huyo mama kama alisha achana na mwamba zaidi ya miaka 5 na hakujua na hakuwahi sikia alipo hizo karatasi za ndoa ni batili
 
Stupid
 
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…