Inaonekana unajua abc zake...FANYA UTARATIBU TUWEKEE NA BEI KABISA,TUJIPANGE...NINA KAJUMBA KAKUEZEKA MUDA SI MREFUwachina wameleta mapinduzi ya uezekaji kwa aina mpya ya bati za plastic na sifa kedekede kama kupoza nyumba, kurecycle yakichakaa, uimara, kutovuja kupitia misumari, bei ndogo, kutunza hewa safi na kutokuwa na kutu. warranty ya miaka 30. tena wanatengenezea hapa nchini. hili jukwaa limeshehen wataalam. anayejua uhalisia wa ubora na uimara naomba msaada wake. kwa lugha tu ni mabati yanayoshawishi kutumia.
View attachment 1767807
Hahahaaah sidhani kama yanaweza kuyeyushwa na jua....Vipi kipind cha jua? Hayayeyuki?
Siyo plastic zote ni combustible kuna zingine hata umwagie petrol hazi support moto petrol ikiisha na moto unazima. Na hizi pia zitakuwa na tabia hiyoTujiulize hivi... Ikitokea ajali ya moto na bati ni hizo plastic, majanga yatakua makubwa au madogo?
Usalama kwanza!
TBS, TBS, TBS... Nawaita mara tatu.
kwenye makanisha hasa wakatoliki yanawekwa juu ya altare yana mwanga mzuriMbona yako kitambo si yale meupe translucency yanaitwa sema now yameleta rang nying nying
Kumbe ndo hayo?[emoji848]kwenye makanisha hasa wakatoliki yanawekwa juu ya altare yana mwanga mzuri
Ni Kweli Yapo Miaka Tele Zamani Yalikuwa Yanaezekwa Na AsbestosMbona yako kitambo si yale meupe translucency yanaitwa sema now yameleta rang nying nying