Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,332
Wakuu naomba ushauri: KIjana anafikiria kuanza masomo ya Diploma IT jijini Dar mwezi march/april 2021 lakini vyuo vyenye March intake ni vichache. Najua UCC wana dahili intake hiyo. Swali je ajitupe UCC au afikirie kusubiri September intake ambayo ina vyuo vingi? Kwa lugha nyingine je UCC ya sasa inatosha? Natanguliza shukrani.