Kwani akiomba intake ya march,intake ya september hataruhusiwa,ila september kuna vyuo vingi sana,hakuna haja ya kurush ili mwezi wa 9 awe na wide range ya selectionWakuu naomba ushauri: KIjana anafikiria kuanza masomo ya Diploma IT jijini Dar mwezi march/april 2021 lakini vyuo vyenye March intake ni vichache. Najua UCC wana dahili intake hiyo. Swali je ajitupe UCC au afikirie kusubiri September intake ambayo ina vyuo vingi? Kwa lugha nyingine je UCC ya sasa inatosha? Natanguliza shukrani.
Anaweza akaomba mwezi wa March na September. Swali langu ni je UCC yenye intake ya March ni chuo kizuri? Kama ni kizuri basi tusisubiri mwezi wa 9 (gharama za kusubiri)Kwani akiomba intake ya march,intake ya september hataruhusiwa,ila september kuna vyuo vingi sana,hakuna haja ya kurush ili mwezi wa 9 awe na wide range ya selection
Mwezi wa 9 ni mbali ja UCC haikidhi?Asubiri wa 9
Haraka haraka haisaidii.
Unaruhusiwa kuomba kwenye vyuo vya serikali march intakeNi wewe tu uwezo wako kwa vyuo unavyoomba moja kwa moja bila kupitia NACTE.