Ushauri unahitajika tafadhali

we kama kenge anaekimbia mvua lkn anapenda kushinda kwenye dimbwi la maji
wote hamfai rudini kwa mola wenu.
 

Jf ishavamiwa! Nendeni mkaombe ushaur huko sodoma na Gomora hapa s ha2jui hyo tabia mbovu! Kaulizen raman kwa rusfa a.k.a shetan atawapa mpaka mtafka. Shindwenii! Uwii najuta kusoma thread hii. Nahs itakua imetoka kuzimu direct.
 
Wewe ulimpataje wenzako washindwe? Mwanamke yoyote au Mwanamme yoyote anaeweza kumvulia mtu nguo nje ya ndoa anaweza kutembea na yoyote wakati wowote. Ukipenda boga upende na mauwa yake.
 
its a wastage of tym n' energy blaming you coz your name says it all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…