BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Wakuu habari
Nataka kununua kiwanja Cha kijana ambaye amefariki, yaani hakuwa na mke, Wala mtoto. Wazazi wake wameshafariki. Ana ndugu zake wawili waliozaliwa pamoja
Ni taratibu gani zitumike ili mtu anunue kiwanja