Hello guyz mi nimeajiriwa serikalini lakini nataka kuacha kazi ili nikasome nije tena kufanya kazi sekta nyingine tofauti na iyo
Sasa utata unakuja katika kuacha kuna uwezekano wa kuandika barua ya kuacha
Na ikakubaliwa ?? Na huwa inachukua muda gani mtu kuacha kazi na kufutwa
Na endapo nikaacha bila taarifa itaniathiri vipi katika ajira mpya?
Maoni yako ni muhimu tafazali