Ushauri unahitajika

MBWAMBO NICHOLAUS JR

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
423
Reaction score
430
Habari za wakati huu....
Poleni na changamoto za maisha na majukumu ya kila siku....

Niende kwenye mada jamani nina plan ya kutaka kufungua Academy soccer ila wachezaji ntakuwa nabeba kila angle ya Africa hii


Je kuhusu plan hizi na jinsi dunia inayoenda siku hizi ni risk au laa

Mana nataka kufanya ndio biashara yangu mana kwa sasa nasomea course ya ukocha wa mpira. ..


Karibuni kwa maoni ushauri jinsi gani kufanya Morden zaidi hii business
 
Angalau wachache, si lazima wakawa wote... Na kama kweli una nia ya dhati huna budi kujiandaa vilivyo... Kukabiliana na kila aina ya changamoto... Na ingekuwa vizuri basi kwakuwa ni academy iwe imejitosheleza kwa kila kitu...
Wale kwa sasa itakua gharama sana mkuu
 
Angalau wachache, si lazima wakawa wote... Na kama kweli una nia ya dhati huna budi kujiandaa vilivyo... Kukabiliana na kila aina ya changamoto... Na ingekuwa vizuri basi kwakuwa ni academy iwe imejitosheleza kwa kila kitu...
Sawasawa chief
 
Anza na vijana wachache Kama 20 au 23 hivi.... uwanja wako jitahidi uwe na fence mkuu pia jitahidi upate TV room hii itakuwa special kwaajili ya vijana kureflesh mind pia kuangalia video mbalimbali zinazohusu soka na Maisha ya mwanasoka....pia usiwe peke ako tafuta mwenzio bar pia mtasaidiana kuimplement discipline kwa wachezaji.... So ni nidhamu pia creativity vijana waive usiogope kufuatilia vitabu vya makocha bora duniani kama Sir Alex Ferguson,Guardiola,wenger na we gone wengi ili ujue Tabia za wachezaji na jinsi ya kudeal nao........

All the best mkuu nakumbuka nilikuwa hatari mno nilicheza mamba zote enzi hizo but kukosa director bora kulifanya nislow down mno
 
Kiluvya fc inauzwa nenda kainunue kama inawezekana
 
Wazo zuri sana, ila lina hitaji WAFADHILI na MTAJI MKUBWA... Ukifanikisha hivi viwili, basi utatoboa.[emoji817]

Sasa hivii TFF hawata kusaidia kwa lolote, wanasubiri ukishatoboa kwenye kazi yako hii, ndio TFF watakapo leta pua zao na kujisemesha "Ooh Tunamfahamu jamaa toka anasoma, Ooh Mtanzania mwenzetu, Ooh Inabidi ufanye kazi mguu kwa mguu na sisi TFF".[emoji18]
 
Moja ya ushauri mzuri sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…