Habari zenu wanajukwaa
Currently mimi ni mwanachuo naingia mwaka wa tatu nasomea bachelor ya business administration. Lakini from the bottom of my heart nimegundua napenda sana field ya information technology(IT) . Please naomba ushauri, naweza kusoma masters ya IT wakati degree ya kwanza nimesomea BBA?