Una mpenzi wako mmependana kwa kipindi cha muda wa kutosha ( miezi 9).Mnapendana sana ( amekuhakikishia anakupenda sana). Mnaongea kwa simu, sms, na kila aina ya mawasiliano kila siku.Inafika siku ya siku mnakutana. Unapata mshangao pale ambapo mtanange unashindikana kabisa.Kila anapojaribu - mambo yanakataa. Humuelewi.Unamuuliza kwanini iko hivyo? Anakujibu hata yeye hajui kwanini.Unapatwa na mfadhaiko moyoni.Unajiuliza kuna nini, hupati jibu.
Je wewe mwanamke ungefanyaje? Wewe kaka imewahi kukutokea hivi na kama ndio ulifanyaje.
( KISA CHA KWELI HIKI!)