Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Kwa wale wenye taaluma ya sheria. Ikatokea umetajwa katika kesi, ambayo au husiki. Mfano, Mie: Abadala naojiwa, nika mtaja Ismail Kuwa ndio alitoa ruhusa ya mie kuiba, huku Ismail haja husika, na vidhibiti alikamatwa navyo Abdala katika tukio. Naombeni ushauri wenu.