Habari wapendwa,
Naomba ushauri nina kijana wangu alimaliza A level mwaka jana ila ilishindikana kwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali.Alipata division 1.6 PCB na alipata B flat.
Naomba ushauri kijana akasomee kozi gan yenye potential kwa sasa pale muhimbili ??!