Ushauri wa biashara na fursa kwa mtaji wa laki 3

Ushauri wa biashara na fursa kwa mtaji wa laki 3

Benediction TZ

New Member
Joined
Jul 14, 2022
Posts
3
Reaction score
3
Habari wana JF nlikuwa naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu wa biashara yoyote yenye faida

Location: Iringa
Mtaji 300k
 
Msimu huu wa baridi tuuzie masweta yale ya kofia, makoti n.k ya watoto kwa wakubwa.

Utanishukuru baadaye.
 
Back
Top Bottom