Jiggy El Jefe
Senior Member
- Aug 10, 2017
- 143
- 170
Ngoja namimi nasubiri ushauriWakuu, nnaomba ushauri na mawazo juu ya biashara nzuri ambayo naweza kifanya Jijini mwanza, nikiwa na kiasi cha Tsh 2 million. Nahitaji kwenda kuishi na kufanya Biashara mkoa huo, Ushauri, Maoni au Mawazo utakua msaada kwangu.
Ahsante.
Mkuu barbershop na 2M tena Rock city mall huu utaniNenda kaanzishe salon ya kiume ''a very classic barbershop'' pale rock city mall then baada ya miezi sita urudi hapa kunishukuru, huwa napata shida sana sehemu nzuri yakujiweka sawa nikiwa mwanza
Umeombwa utoe mawazo ili kumsaidia yeye, sio kukosoa maoni ya wenzako kuwa mwelewa!!Mkuu barbershop na 2M tena Rock city mall huu utani
Mkuu sijakosoa nimeongea hali halisi. Mbona sisi ni wanafiki sana, Je ukipewa ukuu wa kitengo kuna mtu atabwabwaja kwako kweliUmeombwa utoe mawazo ili kumsaidia yeye, sio kukosoa maoni ya wenzako kuwa mwelewa!!
Hawezi kubwabwajwa. Soma maelezo katika kila swali!Mkuu sijakosoa nimeongea hali halisi. Mbona sisi ni wanafiki sana, Je ukipewa ukuu wa kitengo kuna mtu atabwabwaja kwako kweli
Shukran mkuu[emoji120] ntaufanyia kazi ushauri wakoMkuu 2M pesa ndogo sana ukikurupuka nayo sababu hutofikia lengo na pesa itakuwa ishaisha.
Kama huna kazi nyingine na unategemea iyo pesa ndo ikutoe kimaisha na uendelee kuishi unaweza anzia hapa.
Nenda makoroboi kachukue eneo dogo tu kwa mtu then kanunue nguo za mitumba za wadada haswa blauz na sketi anza kuuza
Then chukua pesa iliyobaki tafuta eneo ya kawaida tu ila iwe uswahili kidogo weka banda la chips tafuta kijana mfanye biashara.
Hapo utakuwa na biashara mbili tofauti na utakuwa umebakiza pesa kiasi chake panga chumba cha elf15 au 20 weka godoro chini nunua vyombo vya kupikia na jiko anza maisha.
Kama pesa itabaki weka akiba M-pesa au tigo pesa itakusaidia badae kwa issue ndogo ndogo.
Epuka starehe zisizo na maana, Makundi ya ovyo na Wamama wa kisukuma hutojuta
Mkuu unajua gharama ya kupata eneo pale makoroboi? Sio rahisi kama unavofikiriaShukran mkuu[emoji120] ntaufanyia kazi ushauri wako
Nadhani huu ni ushauri mzuri sana kuutekelezaMkuu 2M pesa ndogo sana ukikurupuka nayo sababu hutofikia lengo na pesa itakuwa ishaisha.
Kama huna kazi nyingine na unategemea iyo pesa ndo ikutoe kimaisha na uendelee kuishi unaweza anzia hapa.
Nenda makoroboi kachukue eneo dogo tu kwa mtu then kanunue nguo za mitumba za wadada haswa blauz na sketi anza kuuza
Then chukua pesa iliyobaki tafuta eneo ya kawaida tu ila iwe uswahili kidogo weka banda la chips tafuta kijana mfanye biashara.
Hapo utakuwa na biashara mbili tofauti na utakuwa umebakiza pesa kiasi chake panga chumba cha elf15 au 20 weka godoro chini nunua vyombo vya kupikia na jiko anza maisha.
Kama pesa itabaki weka akiba M-pesa au tigo pesa itakusaidia badae kwa issue ndogo ndogo.
Epuka starehe zisizo na maana, Makundi ya ovyo na Wamama wa kisukuma hutojuta
Mkuu ni 150k au kama umezid sana 200k p/m . Kuna kijana alikuwa anafanya kazi kwangu nilipohama mwnz ilibidi nimwachie mazingira kidogo ndo nikaamua kumfanyia huo mpango only kwa 500k. Hadi sasa yupo vzur sn na kaoa juu, Huwez amini kuna siku ATM imegoma nikasema nimcheki aniazime laki2 yaani sikutegemea kabsa kunambia subr kama dak1Mkuu unajua gharama ya kupata eneo pale makoroboi? Sio rahisi kama unavofikiria
Hahahahah,umeua njiwa wa wili kwa jiwe moja,kwanza nime pata somo,pia nimecheka kishenzi.Mkuu ni 150k au kama umezid sana 200k p/m . Kuna kijana alikuwa anafanya kazi kwangu nilipohama mwnz ilibidi nimwachie mazingira kidogo ndo nikaamua kumfanyia huo mpango only kwa 500k. Hadi sasa yupo vzur sn na kaoa juu, Huwez amini kuna siku ATM imegoma nikasema nimcheki aniazime laki2 yaani sikutegemea kabsa kunambia subr kama dak1
Hahahahah,umeua njiwa wa wili kwa jiwe moja,kwanza nime pata somo,pia nimecheka kishenzi.
Mkuu 2M pesa ndogo sana ukikurupuka nayo sababu hutofikia lengo na pesa itakuwa ishaisha.
Kama huna kazi nyingine na unategemea iyo pesa ndo ikutoe kimaisha na uendelee kuishi unaweza anzia hapa.
Nenda makoroboi kachukue eneo dogo tu kwa mtu then kanunue nguo za mitumba za wadada haswa blauz na sketi anza kuuza
Then chukua pesa iliyobaki tafuta eneo ya kawaida tu ila iwe uswahili kidogo weka banda la chips tafuta kijana mfanye biashara.
Hapo utakuwa na biashara mbili tofauti na utakuwa umebakiza pesa kiasi chake panga chumba cha elf15 au 20 weka godoro chini nunua vyombo vya kupikia na jiko anza maisha.
Kama pesa itabaki weka akiba M-pesa au tigo pesa itakusaidia badae kwa issue ndogo ndogo.
Epuka starehe zisizo na maana, Makundi ya ovyo na Wamama wa kisukuma hutojuta
Maana. Niko mwanza ilemela unaweza kunicheck I box