HAZOLE
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,551
- 713
Ninampango wa kufunguwa duka la kuuza maziwa fresh, mgando kwa jumla na rejareja pia samaki wabichi kwa hapa mbeya mjini.
Naomba nijue yafuatayo kwa uzoefu wako ktk hii tasnia ya fresh foods.
1. Location iweje
2. Usimamizi pale unapoweka MTU wa kuuza
3. Changamoto zake mfano wateja, muuzaje aweje, bidhaa kuharibika n.k.
4. Faida ipoje.
5. Nini nifanye kuboresha
: Lengo nije kuwa mfugaji hasa fish. Kwahiyo hii itakuwa motivation kubwa ya ufugaji huu🙏🏿🙏🏿🙏🏿