Huwez anzisha biashara akati hujui lolote.. fanya research physical...Ninampango wa kufunguwa duka la kuuza maziwa fresh, mgando kwa jumla na rejareja pia samaki wabichi kwa hapa mbeya mjini.
Naomba nijue yafuatayo kwa uzoefu wako ktk hii tasnia ya fresh foods.
1. Location iweje
2. Usimamizi pale unapoweka MTU wa kuuza
3. Changamoto zake mfano wateja, muuzaje aweje, bidhaa kuharibika n.k.
4. Faida ipoje.
5. Nini nifanye kuboresha
: Lengo nije kuwa mfugaji hasa fish. Kwahiyo hii itakuwa motivation kubwa ya ufugaji huu[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Acha uongoChangamoto mbeya ni Ubinafsi&Ushirikina
Nasikia unaweza kua unauza TV wateja wakija wanaona ni duka la chupi za watoto. Mwingine alikua na pick up wateja wakija wanaona kumetolewa tyre kinatengenezwaChangamoto mbeya ni Ubinafsi&Ushirikina
Mkuu kwa kukushauri tu utafute sehemu yenye idadi kubwa ya watu...pale kabwe mwanjelwa kuna sehemu zinapaki bajaji nyingi ukipata chumba maeneo yale itapendeza...wateja wengi wa maziwa fresh wakati wa jioni mara nyingi wanakuwaga ni watu wanaofanya manual work...location nyingine chuo cha t.i.a or mzumbe ukipata chumba sehemu nzuri kwenye hivyo vyuo utafanya biashara...mwambene stand pia naona pamechangamka unaweza fanya iyo biashara ya maziwa fresh na mgando+vitafunwa....kama uko serious nicheki pm nikakuoneshe mtu anaefanya biashara kama iyo unaweza jifunza kituNinampango wa kufunguwa duka la kuuza maziwa fresh, mgando kwa jumla na rejareja pia samaki wabichi kwa hapa mbeya mjini.
Naomba nijue yafuatayo kwa uzoefu wako ktk hii tasnia ya fresh foods.
1. Location iweje
2. Usimamizi pale unapoweka MTU wa kuuza
3. Changamoto zake mfano wateja, muuzaje aweje, bidhaa kuharibika n.k.
4. Faida ipoje.
5. Nini nifanye kuboresha
: Lengo nije kuwa mfugaji hasa fish. Kwahiyo hii itakuwa motivation kubwa ya ufugaji huuππΏππΏππΏ
Andika msema kweli.Acha uongo
Mbeya,ukifika ,tii msemo unasema uliza wenyejiNasikia unaweza kua unauza TV wateja wakija wanaona ni duka la chupi za watoto. Mwingine alikua na pick up wateja wakija wanaona kumetolewa tyre kinatengenezwa
Hivi kwanini wabongo mmekariri kufanya biashara lazima upange fremu?Ninampango wa kufunguwa duka la kuuza maziwa fresh, mgando kwa jumla na rejareja pia samaki wabichi kwa hapa mbeya mjini.
Naomba nijue yafuatayo kwa uzoefu wako ktk hii tasnia ya fresh foods.
1. Location iweje
2. Usimamizi pale unapoweka MTU wa kuuza
3. Changamoto zake mfano wateja, muuzaje aweje, bidhaa kuharibika n.k.
4. Faida ipoje.
5. Nini nifanye kuboresha
: Lengo nije kuwa mfugaji hasa fish. Kwahiyo hii itakuwa motivation kubwa ya ufugaji huu[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Vipi upo serious kufanya biashara ya kuuza maziwa ya ngo'mbe?Ninampango wa kufunguwa duka la kuuza maziwa fresh, mgando kwa jumla na rejareja pia samaki wabichi kwa hapa mbeya mjini.