Ushauri wa biashara ya Noah Dodoma

cecil dom

Member
Joined
May 4, 2017
Posts
47
Reaction score
11
Habari wakuu,

Juzi familia yangu tumebahatika kununua gari aina ya noah ilikuwa inamilikiwa kama private kibao cha njano, lakini sasa tumeibadiri umiliki na sasa ipo cormecial kwaajili ya biashara.

Baada ya kubadilisha hiyo gari kuwa ya biasharaa, nimetembeleaa vituo vingi vya noah ili nipate uzoefu wao na wao wamejitahid kunielekeza.

Kutokana na JamiiForums watu kuwa na akili nying za biashara ya magari na matumizi ya magari ya biashara na kama mwenyewe wa dodoma nijue ni route gani nzuri kwa biashara, ingawa gari atakuwa anatumia mwanafamiliaa, gari ipo maeneo ya uzunguni Dodoma.

Naombeni ushauri wenu kuhusu hii biashara na pia kwa mawasiliano waweza kunifuata PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…