wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 285
ushauri wako unahitajika sana hasa kwa wenye uzoefu.nategemea ndani ya muda chini ya mwezi mmoja nifungue biashara ya bucha ya nyama na pia samaki wa maji baridi(sato na sangara wabichi).kama pia wa maji chumvi nao wana soko zuri basi pia nitawauza.mwenye uzoefu na hii biashara nategemea ushauri wako sana.mtaji wa kutosha ninao.na niko dar es salaam.