Ushauri wa biashara

Ushauri wa biashara

alongakeke

Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
98
Reaction score
30
wakuu habar zenu. Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni flani ya uchimbaji migodini . Mimi ni mkazi wa Mwanza.Niliacha kazi na kuanza kufatilia mafao yangu NssF na hatimaye baada ya mwaka mmja nimelipwa mafao yangu yote . Nna mtaji uko tayar Tsh 210m cash na Nna mpango wa kufanya ujasiriamali lakn nna kwama nijikite kwenye biashara gan maana kila anaenishaur ananiambia biashara zile zile zilizozoeleka tena maeneo yale yale.mmoja jana kanishaur biashara ya nguo kufata dubai, mwingine alinipa idea ya kufungua bar mkoani mwanza,mwingine kanishaur ninunue hiace tano niziweke ruti ya igoma buhongwa au airport buhongwa, mwingine kaniambia nianzishe shule, wakuu napata tabu maana naona kama biashara hizo ntakua nafanya kitu kile kile kwa namna ile ile hivyo itakua ngumu kujitofautisha na wengine hata ROI itakua ndogo sana na itachukua muda sana, Naomba wakuu ushauri na mwenye idea ya biashara yenye ubunifu na utofauti kidogo anisaidie naweza hata ku fund idea yako tukafanya patnership. Niko tayar kufanya Bbiashara mkoa wowote wa tanzania sio lazima Iwe Mwanza tu.
 
Nenda Pembeni Ya Mji, Nunua Eneo, Kubwa Tu, Anza Ufugaji, Hasa Wa Kuku.
 
Tafuta eneo hata ekari 5 weka mfumo wa umwagiliaji anzisha bustani ya Mbogamboga na matunda kama vile papai na kadhalika hapo unaweza tumia hata10- 15 M tu!
 
Nenda Singida au manyara (babati) anza biashara ya kununua Alzet kisha unakamua na kuuza mafuta pamoja na mashudu. Huwezi kujutia Biashara hiyo! Kama ukihitaji ushauri mwingine wasiliana nami nikushauri mkuu.
 
Sawa mkuu ntakutafuta
 
wakuu habar zenu. Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni flani ya uchimbaji migodini . Mimi ni mkazi wa Mwanza.Niliacha kazi na kuanza kufatilia mafao yangu NssF na hatimaye baada ya mwaka mmja nimelipwa mafao yangu yote . Nna mtaji uko tayar Tsh 210m cash na Nna mpango wa kufanya ujasiriamali lakn nna kwama nijikite kwenye biashara gan maana kila anaenishaur ananiambia biashara zile zile zilizozoeleka tena maeneo yale yale.mmoja jana kanishaur biashara ya nguo kufata dubai, mwingine alinipa idea ya kufungua bar mkoani mwanza,mwingine kanishaur ninunue hiace tano niziweke ruti ya igoma buhongwa au airport buhongwa, mwingine kaniambia nianzishe shule, wakuu napata tabu maana naona kama biashara hizo ntakua nafanya kitu kile kile kwa namna ile ile hivyo itakua ngumu kujitofautisha na wengine hata ROI itakua ndogo sana na itachukua muda sana, Naomba wakuu ushauri na mwenye idea ya biashara yenye ubunifu na utofauti kidogo anisaidie naweza hata ku fund idea yako tukafanya patnership. Niko tayar kufanya Bbiashara mkoa wowote wa tanzania sio lazima Iwe Mwanza tu.
Naendelea kupokea maoni
 
Mkuu kwa mkwanja huo, jiandae kupokea MP za wachumba ambao watakua tayari hata kuwa nyumba ndogo ya 3.... tehteehhh
 
Wekeza kwenye ardhi hutojutia....
Kama kilimo na ufugaji hujawahi kukifanya tafuta mtu anaye weza akuongoze kwenye hilo.....huto jutia...
 
Umepata wapi iyo pesa kwa awamu hii.Ebu kuwa serious million 210,huna wazo la biashara wakati threads zako nyingi humu wewe ni mtu wa technology sana.
Arooo Buraza ebu eleza vizuri
 
Kama huna uzoefu wa biashara usiwekeze mpunga wote huo kwa sasa, utalia. Anzisha kwanza biashara ya kawaida ya kama 30m, baada ya mwaka hv utakuwa umezoea mikiki ya ujasiriamali, na utakuwa na idea nyingi tu zenye tija
 
ok,wewe interest yako ni ipi?ujue wazo la biashara linaanzia within either kwa hobby,experience,mazingira n.k kama ukiweza weka list ya biashara zinazoclick wa mind yako kisha kwa kusaidiana na wadau tutadadavua
Nilifikiria biashara ya electronics lakn naona kama na yenyewe imedorora sana kwa sasa,
 
wakuu habar zenu. Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni flani ya uchimbaji migodini . Mimi ni mkazi wa Mwanza.Niliacha kazi na kuanza kufatilia mafao yangu NssF na hatimaye baada ya mwaka mmja nimelipwa mafao yangu yote . Nna mtaji uko tayar Tsh 210m cash na Nna mpango wa kufanya ujasiriamali lakn nna kwama nijikite kwenye biashara gan maana kila anaenishaur ananiambia biashara zile zile zilizozoeleka tena maeneo yale yale.mmoja jana kanishaur biashara ya nguo kufata dubai, mwingine alinipa idea ya kufungua bar mkoani mwanza,mwingine kanishaur ninunue hiace tano niziweke ruti ya igoma buhongwa au airport buhongwa, mwingine kaniambia nianzishe shule, wakuu napata tabu maana naona kama biashara hizo ntakua nafanya kitu kile kile kwa namna ile ile hivyo itakua ngumu kujitofautisha na wengine hata ROI itakua ndogo sana na itachukua muda sana, Naomba wakuu ushauri na mwenye idea ya biashara yenye ubunifu na utofauti kidogo anisaidie naweza hata ku fund idea yako tukafanya patnership. Niko tayar kufanya Bbiashara mkoa wowote wa tanzania sio lazima Iwe Mwanza tu.
Kwa kuwa unauzoefu katik uchimbaji, nakushauri uanze kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo wadogo hapo geita, tenga hata 10 million utaona faida yake. Unachotakiwa kuwanacho makini ni timu ambayo utakayofanyanayo kazi.
NB hakuna biashara ambayo haina changamoto!
 
Back
Top Bottom