Ushauri wa biashara

Ahsante kwa maoni ya

Ahsante kwa maoni yako ndugu, ntafatilia fursa hiyo niione ikoje.
Fuatilia mkuu ukiwa busy kabisa nitumie hata mimi tusaidiane kulegeza vyuma [emoji3] [emoji3] [emoji3] maana hii biashara wapo wengi ambao haijawakata maana waliendesha wenyewe
 
Aiseeeee.......
Mkuu, hivi unaweza ukakokotoa hata kidogo hiyo aina ya biashara unayo mshauri jamaa aifanye?
Ebu wakati mwingine msipende kuchukulia mambo ya uchenjuaji kiurahisi namnahiyo
Nafanya hiyo kazi, naelewa A to Z kuhusu uchenjuaji
Nimekosa tu mtaji wa kuweza kusimama mimi kama mimi.
Akitaka maelezo au plani nzima ilivyo atakuja pm siwez kuandika kila kitu hapa
 
Nafanya hiyo kazi, naelewa A to Z kuhusu uchenjuaji
Nimekosa tu mtaji wa kuweza kusimama mimi kama mimi.
Akitaka maelezo au plani nzima ilivyo atakuja pm siwez kuandika kila kitu hapa
Mkuu, nakuna unacho kijua kuhusu uchenjuaji.
Na sikuzote minasemaga kwamba ukiona mtu anaanza kujifanya anajua sana ili afuatwe huko PM.... Hiyo ya kumuita mtu mwenye pesa yake PM ni dalili isio njema, na inawezekana kabisa ukamgeuza yeye ndio fursa yako kama ninavyoona umeanza kwa kusema UNAJUA na HAUNA MTAJI, then eti akufuate PM..... tehteehhh
 
Nafanya hiyo kazi, naelewa A to Z kuhusu uchenjuaji
Nimekosa tu mtaji wa kuweza kusimama mimi kama mimi.
Akitaka maelezo au plani nzima ilivyo atakuja pm siwez kuandika kila kitu hapa
Hiyo kitu iko vizur Sana. Nilikuwa maeneo ya geita niliona watu wanavyofanya kazi hio. Sema tu kila mmoja anaangalia fursa kutokana na uzoefu wake au professional yake
 
mkuu una mtaji wakutosha na mtaji mzuri. kwanza nikupongeze kwa hilo, pili napenda kujua wewe binafsi unapenda kufanya nini ndani ya nafsi yako vile inakusukuma then tuje tuangalie ulicho nacho ni kizuri kiasi gani then nasie tutakuongezea zaidi na zaidi.

ila kwa upande wangu nina wazo ambalo ni wazo pori katika utendaji wake maana itakuhitaji kuwa mtu wa kutembea au kuweka mtu wa kutembea na biashara yako si nyingine ila nunua trecka ka mbili za kuanzia then ukiona biashara inalipa utaongeza (aina ni ka utakuwa interested na wazo langu nitakutajia na ntakupa A to Z).biashara hii iliwahi simamia la mzee wangu ambalo lillifanya kazi mikoa mbalimbali hela niliiona na nawish kuwa na langu ila sijawa na uwezo wa kumiliki lanu.

NOTE;yajuu yazingatie
 
Mkuu nitafute nikuunganishe na mchina mmoja Dar akupe mchakato kamili.Kuna vimashine vinauzwa China vingi ni kati ya milioni 10 hadi 15, unakuwa na kiwanda kidogo lakini kuingiziza zaidi ya milioni moja kwa wiki mwanzoni ukianza inawezekana.Ukitaka fanya uwekezaji wa kuzalisha, raw materials zote zinapatikana hapa hapa bongo. Ukiwa interested nicheki PM, kuna idea Kama 3 tofauti zote zinahusu uzalishaji.Baadae waweza kuwa na kiwanda kikubwa.
 
Nenda Singida au manyara (babati) anza biashara ya kununua Alzet kisha unakamua na kuuza mafuta pamoja na mashudu. Huwezi kujutia Biashara hiyo! Kama ukihitaji ushauri mwingine wasiliana nami nikushauri mkuu.
Mkuu naomba uelezee kidogo hii idea ya mafuta kwa faida ya wengi tafadhali. Mchanganuo mzima kama hutojali.
 
Nenda Singida au manyara (babati) anza biashara ya kununua Alzet kisha unakamua na kuuza mafuta pamoja na mashudu. Huwezi kujutia Biashara hiyo! Kama ukihitaji ushauri mwingine wasiliana nami nikushauri mkuu.
Asipofuata huu ushauri nitamwona bw**ge. Na hastaili kumiliki izo pesa
 
mkuu kama hujawahi uza hata maandazi usijaribu kuingia kwenye biashara utashuka kaburini kwa presha...Tuliza kichwa kabisa tafakari usione 210M nyingi wazo murua kabisa tafauti kiwanja pembeni kidogo ya mji jenga nyumba za kupanga za standard ya kawaida chumba viwili au kimoja...hutojuta na utaishi bila stress kwa kuongezea maeneo ya chuo ni sehemu nzuri zaidi pokea kodi ya kila baada ya miezi 3 pokea chako!
Narudia tena kama hujawahi fanya biashara usijaribu.....Wazo hilo ni bure kabisa
 
Hahahaha I feel your thought broo!
Okee dalingi.....[emoji12] [emoji12]
Ingawa sijaelewa, nimeogopa kusema NO.... maana ungeniuliza WHY, na hapo ndipo ningekwama kabisa....[emoji13] [emoji13]
 
Okee dalingi.....[emoji12] [emoji12]
Ingawa sijaelewa, nimeogopa kusema NO.... maana ungeniuliza WHY, na hapo ndipo ningekwama kabisa....[emoji13] [emoji13]
Hehehe, ulichokimaanisha ndo iko nilimaanisha broo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…