Ushauri wa biashara

M Priska

Member
Joined
May 10, 2020
Posts
17
Reaction score
11
Je, ni bidhaa gani kutoka bara la Ulaya (Europe) zinafaa kwa biashara Tanzania. Kuna kampuni inasafirisha mizigo moja kwa moja East africa, ningependa kufanya partnership pamoja nao.

Asanteni kwa maoni yenu.
 
Jack Mengi sijui aliishia wapi na zile furnitures zake.

Nadhan Jack alikua anatengeneza hapa hapa ila material yanatoka nje! Mie naona ready made ndo habari ya mjini boss..ukileta taste nzuri utauza tu mrad bei iwe rafiki!
Jack nyanya nyanya sana lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…