Spinster JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 487 Reaction score 138 Oct 2, 2013 #1 jaman nna rafiki yang anataka kuanzisha biashara,yupo dodoma sabasaba..kwa wale wazoef na eneo hlo naomba tumsaidie ushauri..mtaji..ndo anataka aanze kwa hyo hana idea kubwa na biashara.
jaman nna rafiki yang anataka kuanzisha biashara,yupo dodoma sabasaba..kwa wale wazoef na eneo hlo naomba tumsaidie ushauri..mtaji..ndo anataka aanze kwa hyo hana idea kubwa na biashara.