wadau...nina mpango wa kufungua duka la kuuza nguo na vifaa vya watoto. sehemu ninayo ishi ni sehemu ya makazi ya watu wenye kipato cha kati na chini. pia kuna hostel ya vijana wa chuo hapo karibu. Je kwa ushauri ...ni bidhaa gani nyingine ninaweza kuweka dukani kwa ajili ya hii community ambavyo vitachangamsha duka apart from nguo na vifaa vya watotoNashukuru kwa ushirikiano