Ushauri wa biashara

meezy

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
685
Reaction score
1,207
Mm ni mwanafunz wa ninaeingia second year katika chuo kimoja apa mwanza..Nina kama milion 1.5 natak nijfunze biashara stil nkiwa bado npo chuo..nlikuwa naomba ushauri wenu wadau nini nifanye na ni biashara gan itanfaa
 
Reactions: BIR
Inategemea na ww unavutiwa na biashara gani
 
Mm yoyte itakayoendana na mtaji wang ila 2 iwe inalipa.. Ndo naulzia wadau ipi itanfaa
 
Huezi tu kufanya biashara yyt ili mradi inaendana na mtaji, lazima kuna kitu ambacho unakifikiria ndo ukiseme tukushauri vizuri
 
angalia kilichokosekana hapo ulipo na kinahitajika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…