Ushauri wa biashara

mike318

Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
50
Reaction score
2
Npo dar.nna laki 4 ya mtaji.npo chuo kikuu,nahitaji biashara ambayo haihitaji mda wangu mwingi ili niwe nasoma kama kawaida.nijikimu kwa mambo yangu,.nakaribisha mawazo yote
 
Uza viatu Vya mtumba Vya wanawake jion jion hadi usiku pembeni ya barabara vinalipa,au hata vile viatu Vya kike vya kutoka china vinavyotolewa toleo jipya kila mwez
 
Ongeza elfu 50000
Jiunge na kampuni ya Forever maelezo zaidi ni PM
 
Hapo kama ni kweli uko serious nakushauri ufanye biashara ya vocha za simu!
Hiyo hata class kwenye vipindi unauza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…