Ushauri wa Bitcoin kama akaunti ya kuweka

Kwanza Simuoni mtu anayetakiwa kulipwa 1.8 Bitcoin.

Hata kama yupo ataenda kupoteza hizo Coins.
Mbona mna uchawi na Husda nyingi sana wabongo..? Pesa za mwenzio zinakuuma nini)?
 
Huu uzi umekaa kama uvuvi fulani😆. Mtiririko wa comments kutoka kwa wachangiaji unaogofya.
 
N
nikiwa na KES naweza kutumia njia gani ili nipate Tanzania shi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…