USHAURI WA BURE:acheni ''WIVU'' kwenye ''MIPANGO YA KANDO''

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
Wakuu,

Heri Inapatikana?

Natumaini nyote ni wazima......!

Teamo anaenda straight kwenye hoja......!Na ujumbe huu uwafikie ''wenye ndoa zao'',mkubali msikubali potelea mbali,mimi nawapa black-and-white

Kama umeoa/umeolewa......

Halafu Una hobby na ''mipango ya kando''......

TAFADHALI NAOMBA TUSIWE NA TABIA YA KUWEKA JEALOUSY DHIDI YA MIPANGO YA KANDO....!Haiingii akilini mwa mtu kwamba unatengeneza ''JEALOUSY'' ya level ya juu kabisa kwenye mipango ya kando ilhali unajua kuwa:

-MPANGO WAKO WA KANDO NI MKE/MUME WA MTU

-SIO KWELI KWAMBA ON A SERIOUS SCENARIO MTU UNAWEZA MPENDA MKE/MUME WA MTU IL HALI UNA MUME/MKE UMEMWACHA NYUMBANI!

mi nadhani hii mipango ya kando (kwa wenye hobby na nguvu za kumudu) tuwe tunashea ''kwa amani'' bila wivu....!kwamba leo wewe kesho na mimi pia BILA WIVU!na ukiniona we potezea tu maisha yaendelee au vipi?

habari ndo hiyo.....!kudadadadek

narudi kwa
-mkoloni wa amani
-mkoloni Ti
-mkoloni pikap
-mkoloni RaV4
-mkoloni stalet
-mkoloni gx100
-mkoloni eskudo
-wivu premio
 
He??? Teamo umesahau kukumbushia kabisa hii ni sheria ya ngapi katika infiiiiiiiiiiiiiiiiii.

(Halafu wewe umeamkaje leo???) Mpango wa kando umekuboa nini?? Pole
 
Kuna jamaa alinionea wivu wkt nasepa na Eliza lol
 
Haujawahi kuona mpango wa kando unageuzwa mpango mzima si unajua jinsi mipango ya kando walivyo Vidic wazuri
 
Mmmeanza zile topiki zenu eeh!!!
Haya si mmeambiwa mna mapenzi ya kizee both kwa mpango wa kando na mother house wenu?
Sasa mnalalamika nini, acheni mapemzi ya kizee kama mmechagua maisha hayo.

Naomba kuchukua cheo cha Fab katika thread hii, halafu nimemmisi sana sijui yuko wapi??
 
He??? Teamo umesahau kukumbushia kabisa hii ni sheria ya ngapi katika infiiiiiiiiiiiiiiiiii.

(Halafu wewe umeamkaje leo???) Mpango wa kando umekuboa nini?? Pole

povu kwenda mbele....!
 
Kuna jamaa alinionea wivu wkt nasepa na Eliza lol

sasa huu wivu huu ndio ninaoukataa

we unajua kabisa una mke/mume nyumbani wivu wanini?
 
Aiseeee!!
Wanasema vipo vya kushare lakini sio mapenzi....sasa sijui ukiwa na mpango wa nje ni mapenzi ama?
 
roya acha wivu bana...!

tuwe tunashea tu hao infiiz
Namwona wazee wa madowans hapo.......
BTW: Sharing is caring...i live to that....karibu tutoleane povu....:whistle:
 
mi nalia na hawa wanaojiita wana ndoa...!

hivi una ndoa (mume/mke)....halafu una hobby na mipango ya kando...halafu unaleta wivu?....!gademu
 
Wivu wa Amani...
Wivu Ti
Wivu with no Kingozi!
Wivu bila povu!!!!
 
Acheni ngono maisha hayasubiri panga mambo ya maendeleo tuepushie watoto wa mitaani
 
mi nalia na hawa wanaojiita wana ndoa...!

hivi una ndoa (mume/mke)....halafu una hobby na mipango ya kando...halafu unaleta wivu?....!gademu

Mufalme imeshindwa vita.....sasa inatolea mapovu kwenye sredi....
 
mi nalia na hawa wanaojiita wana ndoa...!

hivi una ndoa (mume/mke)....halafu una hobby na mipango ya kando...halafu unaleta wivu?....!gademu

Una hasira naye huyo mtu nani tena Teamo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…