USHAURI WA BURE:acheni ''WIVU'' kwenye ''MIPANGO YA KANDO''

Mbona wengine wanaonewa wivu mpaka wanafungwa jela kwa kutengenezewa kesi ya kunajisi watoto......! Ilhali wivu kati ya wawili na mke wa mtu tofauti na wao....!
 
Halafu mkipata maukimwi mnaanza kupanga foleni kwa BABU LOLIONDO... :A S 13::A S 13::A S 13:
 
Halafu mkipata maukimwi mnaanza kupanga foleni kwa BABU LOLIONDO... :A S 13::A S 13::A S 13:

Unyanyapaa huooooooooooo.

Kidole kimoja tu wamnyooshea mwenzio vinne vinakuelekea wewe. Watch out!!!

Mimi nafanya na watu wanaoishi na VVU sijawahi kutamka maneno kama hayo hata siku moja!!!
 
Habari Senyu?

Uiteni utakavyo
Usemeni mtakavyo
Lakini babu haachi kuwa na wivu kwa kiumbe chochote cha jinsia ya kike kilichomvulia andawea kwa ridhaa yake.
Yaani yale makitu ananipa akupe na wewe?

Hahahaaa.....babu ana wivu hata kwenye umalaya lol

Babu anarudi kitandani kulala na kutafakari.
 
He?????????? Hata wewe unasema hayo??? Haya bana
 
hahahaha!....
 
na mimi naomba niwe babu sasa....

naomba nirudi kitandani
 
Vp rafik yamekukta? Mana nakuona una jazba kwel! Bt ushaur wangu wa bure, ni kwamba tabia iyo ife! Wanaofanya ivo waache kabsa, na km hawawez kwa nguvu zao wamkri BWANA YESU na wafanyiwe TOBA, hatmae wataacha. Iyo ni roho ya uzinzi inayoongozwa na pepo mahaba 'MAIMUNA' Na hal hii imetawala sana, pepo hl huenda sambamba na pepo 'MAKHATA' pepo la Mauti na kifo. So ukiona upo ktk hal hyo, kmbia mapema coz muda s mrefu huyo mwenye mke au mme akikudaka ndo zako za kuish zmeisha may be neema ya Mungu ikulinde. Alo naongea hv coz nnayo mifano dhahri. Kuna wadada wawil na baba ambao tulikuwa darasa moja apa chuon tulikuwa tumalze wote bt wote wapo kaburin due to dis tabia! Aroo acheni! MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
 
milele amina
 
na mimi naomba niwe babu sasa....

naomba nirudi kitandani

Ili uwe babu unapaswa uwe na mjukuu, siyo?

Ambia vijana wako wahangaike kukuzalia jukuuz.....afu uje tupange mikakati ya kibabu.

BTW hivi kuna watu wenye wivu kwenye umalaya?
 
''..Ni Wewe Bwana Mungu Unaetupenda...Uweza,Nguvu na Mamlaka Ni Vyako . ..
teamo TI-Mfalme Wa Amani
 
Ili uwe babu unapaswa uwe na mjukuu, siyo?

Ambia vijana wako wahangaike kukuzalia jukuuz.....afu uje tupange mikakati ya kibabu.

BTW hivi kuna watu wenye wivu kwenye umalaya?

Moto haupigwi busu......, maji hayana majivu:israel::israel::israel:
Kula kongoro....., nyama ina gauti!!!!
 
"If women are so bloody perfect at multitasking, how come they can't have a headache and sex at the same time?"
 
Ili uwe babu unapaswa uwe na mjukuu, siyo?

Ambia vijana wako wahangaike kukuzalia jukuuz.....afu uje tupange mikakati ya kibabu.

BTW hivi kuna watu wenye wivu kwenye umalaya?

Hakuna kabisa
 
"If women are so bloody perfect at multitasking, how come they can't have a headache and sex at the same time?"

"If women are so bloody perfect at multitasking, how come they can't have a headache and sex at the same time?" ........Askofu, JF Mkuranga
 
Kwani lazima muwe na mipango ya kando?
Mngemaliza mambo yenu kabla hamjaoa/kuolewa.
Wivu hauzuiliki iwapo mnashare hisia.
 
Ili uwe babu unapaswa uwe na mjukuu, siyo?

Ambia vijana wako wahangaike kukuzalia jukuuz.....afu uje tupange mikakati ya kibabu.

BTW hivi kuna watu wenye wivu kwenye umalaya?

nimeweka malalamiko yangu hapa baada ya kuona deus wa kingstaa ANANIONEA WIVU.....!

najiuliza wivu unakujaje wakati ana mke na watoto?
 
nimeweka malalamiko yangu hapa baada ya kuona deus wa kingstaa ANANIONEA WIVU.....!

najiuliza wivu unakujaje wakati ana mke na watoto?

Huyo Deus yuko humu apate ujumbe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…