akibaki watakuwa wa kwanza kushukaNgoja kwanza wakoswekoswe kushuka daraja
Inasemekana viongozi wamekubaliana ishuke ili wachezaji wanaolipwa hela nyingi wahame , timu haina helaNngependa historia hii ya arsenal kushuka daraja iandikwe nkiwa nashuhudia
Hvyo naomba mungu arsenal asifukuze kocha na aendelee kupata matokeo hayahaya🚮
🍻🍻🚶
kama watashuka daraja itawachukua miaka 15-20 kupanda tena ligi kuuInasemekana viongozi wamekubaliana ishuke ili wachezaji wanaolipwa hela nyingi wahame , timu haina hela
Viongozi hawawezi kuwa vichaa namna hii. Wala wanachama hawawezi kukubali, bora wauze timu kama hawawezi kuiendesha. Ila Arsenal ilitegemea sana fedha za makusanyo ya kiingilio maana inatoza hela nyingiInasemekana viongozi wamekubaliana ishuke ili wachezaji wanaolipwa hela nyingi wahame , timu haina hela
😂😂😂😂wameshindwa kuwavunjia mikatabaInasemekana viongozi wamekubaliana ishuke ili wachezaji wanaolipwa hela nyingi wahame , timu haina hela
Conte alibeba vikombe viwili lakini alifukuzwa Chelsea.Arteta ana vikombe viwili tayari.
Kuna makocha wengine hata hamuwaongelei ila hamna kitu kbs
Arsenal huwa hawashauriki....Kwa mwendelezo huu wa matokeo hamna namna tafuteni mwalinu mwingine inawezekana arteta hajaisoma vizuri team kuweza kuwasaidiaa.
[emoji38][emoji38][emoji38]Mmekumbuka shuka pameshakucha!!!
Nakumbuka mkuu Erythrocyte aliwahi kusema Arteta bado hajafikia viwango vya kuinoa klabu kubwa kama arsenal. Wengi tulibeza..any way wana arsenal kama mliweza kumfurusha kigogo wenger,huyu arteta kitu gani??
Fanyeni hima,kabla hamjaenda chachampionship huko[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Ondoka wewe Arteta anatosha.Tunaamini hatuwezi shinda kila game ingawa INAWEZEKANA .Mmekumbuka shuka pameshakucha!!!
Nakumbuka mkuu Erythrocyte aliwahi kusema Arteta bado hajafikia viwango vya kuinoa klabu kubwa kama arsenal. Wengi tulibeza..any way wana arsenal kama mliweza kumfurusha kigogo wenger,huyu arteta kitu gani??
Fanyeni hima,kabla hamjaenda chachampionship huko[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]