Ushauri wa bure: Arsenal fukuzeni kocha

Ushauri wa bure: Arsenal fukuzeni kocha

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,356
Reaction score
38,922
Kwa mwendelezo huu wa matokeo hamna namna tafuteni mwalinu mwingine inawezekana arteta hajaisoma vizuri team kuweza kuwasaidiaa.
 
Nngependa historia hii ya arsenal kushuka daraja iandikwe nkiwa nashuhudia
Hvyo naomba mungu arsenal asifukuze kocha na aendelee kupata matokeo hayahaya🚮
🍻🍻🚶
Inasemekana viongozi wamekubaliana ishuke ili wachezaji wanaolipwa hela nyingi wahame , timu haina hela
 
Viongozi hawawezi kuwa vichaa namna hii. Wala wanachama hawawezi kukubali, bora wauze timu kama hawawezi kuiendesha. Ila Arsenal ilitegemea sana fedha za makusanyo ya kiingilio maana inatoza hela nyingi
 
Inasemekana viongozi wamekubaliana ishuke ili wachezaji wanaolipwa hela nyingi wahame , timu haina hela
😂😂😂😂wameshindwa kuwavunjia mikataba
Ila ozil hatong'oka nnavyoona coZ jamaa karidhika na mshahara na si kingine🚮
🚶🚶🚶
 
Mmekumbuka shuka pameshakucha!!!
Nakumbuka mkuu Erythrocyte aliwahi kusema Arteta bado hajafikia viwango vya kuinoa klabu kubwa kama arsenal. Wengi tulibeza..any way wana arsenal kama mliweza kumfurusha kigogo wenger,huyu arteta kitu gani??
Fanyeni hima,kabla hamjaenda chachampionship huko😂😂🏃🏃
 
Mmekumbuka shuka pameshakucha!!!
Nakumbuka mkuu Erythrocyte aliwahi kusema Arteta bado hajafikia viwango vya kuinoa klabu kubwa kama arsenal. Wengi tulibeza..any way wana arsenal kama mliweza kumfurusha kigogo wenger,huyu arteta kitu gani??
Fanyeni hima,kabla hamjaenda chachampionship huko[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ondoka wewe Arteta anatosha.Tunaamini hatuwezi shinda kila game ingawa INAWEZEKANA .
 
Back
Top Bottom