natumia RunX , nikiweka Drive D nikikanyaga mafuta haiondoki hapo hapo mpaka zipitr dk kama 1 mpkaa 2 , 3 hv . tatizo ni nini mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
engine gani..??mimi gari yangu in anawasha taa ya oil pale ninapokuwa naendesha kwa speed kubwa na kwa umbali mkubwa nishaangaika San
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari yàngu spacio nikikanyaga brake au ikiwa kwenye park au revise gear garinina vibrate tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna corolla ae100 sedan,break zake zipo mbali sana mkuu tatizo ni nini na juzi juzi tu nimefanya service
umiliki wa gari ukiwa haujui chochote juu ya gari yako ni tatizo kubwa sana,wengi hawana elimu yoyote juu ya magari ni mwendo wa kuweka gear na kuondoka.
ningependa kutoa nafasi hii kwa yoyote mwenye swali kuhusiana na magari alitoe hapa ili liweze kujibiwa hapa hapa kwa maana wapo wenye ufahamu zaid kwenye technology ya magari utawaza kupata ABC za magari hii itakusaidia ata unapopata tatizo la gari yako huwez kupata taharuki
Karibuni tupeane Elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
gearbox oil (si ndio hydraulic oil ....nisahihishwe kama nakosea) nimebadili the same day nilipodadili engine oil na filter mkuu. possible courses nyingine itakuwa nini?japo nimeingilia uzi wawatu...ilahapo s'thing kwenye gearbox..umemwaga oil ya gearbox lini...???
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hujui hata kubadili tairi ??..Nifanyeje tairi likipata pancha?
oil viscosity /mnato wa oil =haina ubora hiyo oil au sensa ya oil inamushkelimimi gari yangu in anawasha taa ya oil pale ninapokuwa naendesha kwa speed kubwa na kwa umbali mkubwa nishaangaika San
Sent using Jamii Forums mobile app
silencer haiko sawa iko chini sana au engine mounting zneishaGari yàngu spacio nikikanyaga brake au ikiwa kwenye park au revise gear garinina vibrate tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
badilisha brake pads haraka...hapo ni brakes pads zimeisha so itasaga rotorGari yangu IST nikikanyaga brake kali haikamati na inatoa mlio kama inakwaruza. Inataka nikamate brake juujuu ndo ishike. Tatizo nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una beep kifo badala ya kupeleka kwa Fundi unauliza jf brake sio kitu cha kufanya nacho utaniGari yangu IST nikikanyaga brake kali haikamati na inatoa mlio kama inakwaruza. Inataka nikamate brake juujuu ndo ishike. Tatizo nn?
Sent using Jamii Forums mobile app