wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Dah, huu uzi unadhihirisha kiasi gani watanzania tunaendesha magari mabovu aisee. Magu aangalie namna ya kulegeza kodi watu wanunue gari zikiwa walau na miaka 4 toka zitoke kiwandani.
Hii mitumba ya magari ya miaka 10 iliopita ina tabu sana!
Hapo unatakiwa uweke break fluid maana kwa maelezo hayo mafuta ya break ni madogo sanaKuna corolla ae100 sedan,break zake zipo mbali sana mkuu tatizo ni nini na juzi juzi tu nimefanya service
Kwanini taa ya Cheki engine inawaka pamoja na kuwa nimeshabadilisha kila kinachohitajika kwa mfano censa(sina hakika na spelling) engine pia iko sawa according to maelezo ya fundi,,,,,,msaada please
kufuja kwa hydraulic nalo ni tatizo sana kwa usalama wa gearbox yako jaribu kufix kwanza hiyoNatumia Suzuki escudo, gari ni nzito sana pia kwenye mlima haina speed kbsa mwisho ni 40 pia inavujisha hydrolik ...shida ni nin mkuu
Sawa mkuukufuja kwa hydraulic nalo ni tatizo sana kwa usalama wa gearbox yako jaribu kufix kwanza hiyo
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
pata pancha na wewe mkuu iwe bilabilaNifanyeje tairi likipata pancha?
hakuna tatizo lakin lazima ufanye daily checkup ya engine oil na maji pindi utakapoanza kuitumia so far hakuna shida yoyote ya msingi kuhusu engine oil isipokuwa kama uliweka zile feki zinazogandaga zikikaa kwa muda nakushaur pia ata kama umepaki jaribu kuwasha gar na kuliacha idle kwa dakika kama 15Mkuu sijamwaga oil mda mrefu sana ya injine na gia box kwa sababu gali mda mwingi inakuwa imepaki vipi linaweza kutokea tatizo gali ni ndogo automatic
Unauliza kitambi kinakaa wapi mkuu!, kazibe.Nifanyeje tairi likipata pancha?
kupungua ni shida labda rejetor inavujishaSalaam wakuu, hivi ni kweli kwamba gari haitakiwi kupungua maji kwenye rejeta, kwamba yakipungua tayari kuna walakini katika engine?
Acha ujinga we dogo. Hayo mbona bado mapya kabisa? Mi nasukuma mlandrover 109 wa kurithi umetengenezwa 1978 na nawaanua mabinti wakali tu mjini hapa...Dah, huu uzi unadhihirisha kiasi gani watanzania tunaendesha magari mabovu aisee. Magu aangalie namna ya kulegeza kodi watu wanunue gari zikiwa walau na miaka 4 toka zitoke kiwandani.
Hii mitumba ya magari ya miaka 10 iliopita ina tabu sana!
Hahahahah we kweli mu hanger mkuu. Unapush mandolin mjiniAcha ujinga we dogo. Hayo mbona bado mapya kabisa? Mi nasukuma mlandrover 109 wa kurithi umetengenezwa 1978 na nawaanua mabinti wakali tu mjini hapa...
Bush kule naaukuma Toyota Stout nabebea mbege na maparachichi msimu wa Xmas na sijawahi kupata ajali yoyote...
Yeah tena niko komfotabo kabisa. Spea naenda kuchonga mwenyewe pale Veta Chang'ombe.Hahahahah we kweli mu hanger mkuu. Unapush mandolin mjini
Mount zinazotenganisha engene na body LA garii zitakuwa zimeisha kwahio engine for somehow inagusa body ndo màana linashake kacheki kwa fundi au brake disks au Rotors zitakuwa zimetumika sana ile surface inakuwa haipo level.Gari yàngu spacio nikikanyaga brake au ikiwa kwenye park au revise gear garinina vibrate tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app