Ushauri wa Bure juu ya gari yako

Msaada wa kwanza anza kutafuta mteja wa hio gari, siku nyingine usinunue gari inayoitwa Honda. Hao fani yao ni pikipiki tu na majenereta kwenye magari hamna kitu ni majanga tu kuanzia RVR, CR-V n.k

Kingine fanya diagnosis ya system ya mafuta
Mkuu RVR ni Honda?
 
samahani kaka nilikua naulizia hivi gari kama lamborghin uvungu wake unaendana kweli na barabara za hapa tz
 
Ngoja nijikusanye niwaone. Pengine kwa ushauri, kwa Dsm wapi naweza pata huduma sahihi kwa bei yetu wanyonge mkuu.
Si wapati mafundi wengi mm ila kwa miaka ya nyuma nilikua naenda automech ipo tabata kwa sasa cjawai pata nafasi ya kupekeka gari gerage ile pale automech nasikia wamefikisika kwa ss ila mafundi bado wapo wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…