if not now
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 186
- 171
Kama unauhakika anakupenda wala huna muda wa kufuatilia simu, ukianza kufuatilia ujue umeshajua mapungufu yako na unatakata kuhakikisha kama unachohisi ni kweli. Uwe na moyo, ukishagundua ni kweli sasa ndiyo unaanza short answers ndiyo kabisa unaongeza maji kwenye wali bokoboko.
Inategemea kama ni yule ambae ameshapigwa na dhoruba za dunia ataelewa somo, lakini kama ni hawa spring chicken ambao hawajui how green the grass is, hata ukimbeba asubuhi mpaka bafuni na chai umwekee atakuona fala.Mwanamke ata umwonyesha unampenda kwa kiwango cha juu bado hataweza kujiamini lazima atafukunyua fukunyua tu
hahahhahKuna siku ilinifanya nione usiku uko doubled ..... Haya mambo c ya kukukupurukiaa
Nimeipenda,"Spring chicken ambao hawajui how green the glass is''.Inategemea kama ni yule ambae ameshapigwa na dhoruba za dunia ataelewa somo, lakini kama ni hawa spring chicken ambao hawajui how green the grass is, hata ukimbeba asubuhi mpaka bafuni na chai umwekee atakuona fala.
Kuna Rafiki yangu alishika simu ya mchumba ake akakuta chatting za huyo koroboi na dume wanasifiana namna ule mchezo wa kubonyeza 0713 ulivyo mzuri na baadhi ya picha zipo.Tena ni mchumba wake wanatarajia funga ndoa..akaja kuniomba ushauri na in serous way hadi machozi yanamtoka eti...Nilimuuliza unampenda bado hata km umegundua hilo??.akajibu ndio.nasababu iliyopelekea we mwaume ufukunyue simu yake nn?,akajibu nijiridhishe km hanisaliti...me nikamwambia huyo hakusaliti ila napigwa tigo tu we nenda kaendelee nae..Wakuu amini musiamini huu ni mwaka wa 3 kwenye ndoa yao..Hizi mambo hazina formulaAahh hata wanaume wasishike simu za wadada maana unaweza kushangazwaa