Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Ni ukweli ulio wazi kwamba umefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuvuka changamoto ya kuupeleka mziki wako ukubalike nje ya Tanzania. Hivi sasa mpenda muziki yeyote Africa anajua muziki wako na kukufatilia kwa karibu sana
Najua unatengeneza pesa nzuri kuliko msanii yeyote East Africa kwa sasa lakini binafsi naona bado hujafanikiwa kutengeneza pesa kulingana na jina lako na muziki ulijitengenezea
Najaribu kuangalia wasanii ambao upo nao level moja angalau kwa sasa wanvyopiga shows all over the Africa
Angalia Acc za Insta za P-square au Davido.
Sioni ukipiga matour ya maana ukiachilia Kenya, Uganda, Tz, Burundi, Rwanda. Natamani nikuone unajaza nyomi Cameroon au Ghana au Misri South Africa n.k.
Show za USA na UK zinalipa sawa lakini himaya yako ipo Africa wanakokutambua, wapige hela bana!
Hii ni changamoto kwa Fella na team yako yote. Tafuteni mapromota wa nchi husika mkapige hela bana! Shows za Tz Pekee hazitoshi, andaa tour moja matata Africa, huu ni wakati wako na hautakaa juu milele.
Ni hayo tu.. Naamini unakatiza mitaa hii kuchungulia na kama sio wewe basi wapambe wako!