haka kadada kana roho mbaya always
Safari ni hatua
Ndio anashauriwa awafikie sasa, we unapinga nini
Level ya Diamond hao ndio wenzake wanamzidi kipato tu na ndio anashauriwa afanyaje awafikie
Alishauriwa atafute kolabo akafanikiwa kuiteka africa sasa kilichobaki ni kumake money tu
Ningeona ajabu kama msinge jitokeza....mwenzako katoa ushauri wewe una ponda bila shaka una elements za uchawi ..!!
Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba vyao, wewe pia utakua una roho mbaya ndio maana umeweza kuliona hilo.
Hivi umeelewa nilichokuambia lakini?
Kama ungeelewa usingeniuliza hili swali.
sija uliza swali hapo.....anacho takiwa kujua ni kua hapa anashauriwa diamond na sio kutaka kumpambanisha na wakina davido mara sijui nini....atafute uzi maalum wa kubishania sio humu!
by the way nimekuelewa sana.
Hii ni sehemu free ya kujielezea. Hakuna limits za hapa mtu aseme chochote au asiseme.
Haya basi kwaheri.
nnaweza nikawa na roho mbaya ila ya kwako imezidi
Safari njema!!
Lol! Hivi mtu akisema kwaheri hua anasafiri eeh?
Wakati mwingine hua natumia kama kejeli, pole zako.
kwani ukiambiwa safari njema ni lazma usafiri? hiyo pia sometimes inatumika kama kejeli.
Kubali KUTOFAUTIANA.Sio mwenzio anapinga nawe unamvamia, simamia katika kile unachokiamini.
Hakuna aliyekulazimisha kukubaliana nae.
Inategemea unatofautiana vipi, sio unapinga tu kwakuwa humpendi mtu
Hahahahaa! Safari maana yake nini?
Nimecheka sana hata hivyo.
Hivi umeelewa nilichokuambia lakini?
Kama ungeelewa usingeniuliza hili swali.
Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba vyao, wewe pia utakua una roho mbaya ndio maana umeweza kuliona hilo.
Hahahahahaa, hebu nieleze roho yangu mbaya ikoje? Nimewahi kukuzibia rizki au kukuulia ndugu yako?
Sijipendekezi kwa mtu humu, najieleza ninavyotaka mimi bila kuogopa watu kama wewe watanichukulia vipi.
Useme nina roho mbaya au nzuri sijali, na wala sijakuomba kunipa sifa maana sikufuata sifa humu.