Ushauri wa bure kwa IGP: Mkoa wa Geita uwe Kanda Maalum

Ushauri wa bure kwa IGP: Mkoa wa Geita uwe Kanda Maalum

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Hali ya usalama wa raia mkoa wa Geita ni mbaya.

Kuna ajali za kutisha, mauaji ya Raia, albino, wizi, wahamiaji haramu.

Pia vyombo vya habari mkoani Geita vimeshindwa hata kuriporti matukio, kwani matukio ni mengi mno.

RPC mkoani Geita, kazi imemshinda na ninashauri iundwe Kanda Maalum.

Hali sio shwari.
 
Maeneo sumbufu yaliokua maficho ya majambazi na silaha ni:-
Katiro
Runzewe
Nyampalahala
Butinzya
Kasamwa
Mkome
Itabagumba
Nyalugusu

The list is loading.......
 
Nakubaliana nawe japo ni sababu ndogo, Wananchi wanahitaji elimu wabadilike
 
Maeneo sumbufu yaliokua maficho ya majambazi na silaha ni:-
Katiro
Runzewe
Nyampalahala
Butinzya
Kasamwa
Mkome
Itabagumba
Nyalugusu

The list is loading.......
Bila kuwemo Lugunga, Masumbwe ninamashaka na list yako mkuu. Mfano Lugunga robo tatu ni wahamiaji robo ndiyo waTanzania.😂😂😂😂
 
Hali ya usalama wa raia mkoa wa Geita ni mbaya.

Kuna ajali za kutisha, mauaji ya Raia, albino, wizi, wahamiaji haramu.

Pia vyombo vya habari mkoani Geita vimeshindwa hata kuriporti matukio, kwani matukio ni mengi mno.

RPC mkoani Geita, kazi imemshinda na ninashauri iundwe Kanda Maalum.

Hali sio shwari.
Serikali itekeleze huu ushauri.
 
Back
Top Bottom