peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Geita na Njombe wanachuana ππππHali ya usalama wa raia mkoa wa Geita ni mbaya.
Kuna ajali za kutisha, mauaji ya Raia, albino, wizi, wahamiaji haramu.
Pia vyombo vya habari mkoani Geita vimeshindwa hata kuriporti matukio, kwani matukio ni mengi mno.
RPC mkoani Geita, kazi imemshinda na ninashauri iundwe Kanda Maalum.
Hali sio shwari.
Bila kuwemo Lugunga, Masumbwe ninamashaka na list yako mkuu. Mfano Lugunga robo tatu ni wahamiaji robo ndiyo waTanzania.ππππMaeneo sumbufu yaliokua maficho ya majambazi na silaha ni:-
Katiro
Runzewe
Nyampalahala
Butinzya
Kasamwa
Mkome
Itabagumba
Nyalugusu
The list is loading.......
Serikali itekeleze huu ushauri.Hali ya usalama wa raia mkoa wa Geita ni mbaya.