Elections 2010 Ushauri wa bure kwa JK

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Hv JK umewahi kujiuliza kwa nini nyota yako imezimika ghafla? Kama jibu ni siyo, basi huna akili. Je washauri wako wakaribu wanajua jibu? Kama wanajua kwa nini hawajakushauri ili ujirekebishe? Kama ww na wandani wako hamjui, kwa nini hujawauliza wananchi? Natumaini bado ni mapema kwako kuwauliza wananchi sababu ya ww kunuka mwaka huu wakati 2005 ulikuwa darling wa majority, mimi nikiwa mmoja wao. Ukielezwa sababu, waombe radhi na hiyo iwe ndiyo basis ya kutoa ahadi kuliko hivi sasa unapotoa ahadi amabazo hazina kichwa wala miguu. JK. kuomba radhi ni uungwana maana hakuna aliye kamili. Sababu za ww kunuka zinajulikanna na hata mtoto mdogo. Nina imani hata ww na wandani wako mnajua, ila hamtaki kuomba radhi kwa ajili ya ukichwa ngumu tu. Na ukae ukijua kuwa hunuki kwa wasio wanaCCM tu, bali hata kwa wanaCCM, pamoja na viongozi wenzako wa CCM

Shauri yako binafsi na CCM kwa ujumla. Mkaidi hafaidi siku ya Eid, yaan 31.10.10.

Lkn lazima nikushukuru ww pamoja na Makamba kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kuanguka kwa lijiCCM mwaka huu maana kuangika kwake ni ukombozi wa waTZ ambao wamekandamizwa kwa miaka 49. Ahsanteni sana. Tukutane 31.10.10
 
Sikio la mbuzi halisikii mpaka likiwa juu ya moto. Uchaguzi wa mwaka huu utawafanya viongozi wa nchi hii kuyasikiliza matakwa ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…