hahah..... when a readers falls for the book cover!!!
Siku ikatokea tuwepe misura yetu ya ukweli humu, mtu unaweza kujisaidia kwa mshtuko wallahi!!! mingine midume humo ndani ya avatars
na wewe hiyo ni yako kabisa?Nilham ni picha yake halisi/ya ukweli...unavyomuona ndivyo alivyo..well,yeye ndio kasema hivyo!
na wewe hiyo ni yako kabisa?
kama sio wewe basi sijaipenda.... sasa wewe huyo nilham mbona mzee hivyo?sio yangu,am far too older than that...vipi umempenda?
aaah ticha nawe....
Yani unasoma hadi balaa
umeanza sasa... hayo ya kill yanatoka wapi?? mie kakako nina killing phobiawhat doesn't kill you makes you stronger 😛
Elimu haina mwisho, hata hapa JF nipo katika kusoma na kujifunza.
he... kumbe wapwaz hawajakwambia... Mie nimeoa mzungu aiseeAcid
Nimempenda huyo mchuchu kwenye Avatar yako.......cute lakini ana mkorogo mbona au mzungu? lol
hahah..... when a readers falls for the book cover!!!
Siku ikatokea tuwepe misura yetu ya ukweli humu, mtu unaweza kujisaidia kwa mshtuko wallahi!!! mingine midume humo ndani ya avatars
teh teh...babamtu bana...,
ushauri mzuri lakini....!
...hata mie nikahisi asije akaangukia kny mikono ya mainfiii ya humu..
i felt like protecting her..
cute,young and descent....be blessed Nilham
Kwani we ulifanyiwa utaratibu huu..??nadhani kaskia na atafanyia kazi ushauri wako
Kwani we ulifanyiwa utaratibu huu..??
hahah..... when a readers falls for the book cover!!!
Siku ikatokea tuwepe misura yetu ya ukweli humu, mtu unaweza kujisaidia kwa mshtuko wallahi!!! mingine midume humo ndani ya avatars