Ushauri wa bure kwa Rich Mavoko

kibuyu180

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
1,717
Reaction score
1,823
Richard Mavoko ni mmoja wa waimbaji wazuri sana hapa bongo. Binafsi namkubali sana. Kaka nakushauri tuliza kichwa tunga wimbo mwingine mzuri, wapenzi wako hatujaridhika na wimbo wako wa Kokoro.

Mavoko una nyimbo nyingi nzuri ulizoimba mwenyewe na kushirikishwa ila huu wa sasa mmmmh.
 
mmmmh ni ushauri gani sasa?
 
Huyu dogo naona anabadilisha aina ya muziki kwa kutarget aina fulani ya soko na ukijumlisha na promotion kubwa kibiashara pengine itamlipa but kwa mtazamo wangu nadhani wimbo wa mwisho mzuri alitoa nahisi unaitwa PACHA WANGU kama sijakosea.
 
Hawezi kutoa nyimbo hadi uongozi useme hapo ndiyo Diamond atabaki kuwa on top wa bongofleva,

Hayo ndiyo madhara ya kusagn mikataba bila kufikiria mbele
Huwez zungumzia positive ?au shida yako atoe nyimbo 20 kwa mwaka.?
 
Huyu dogo naona anabadilisha aina ya muziki kwa kutarget aina fulani ya soko na ukijumlisha na promotion kubwa kibiashara pengine itamlipa but kwa mtazamo wangu nadhani wimbo wa mwisho mzuri alitoa nahisi unaitwa PACHA WANGU kama sijakosea.
Wimbo mzuri ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…