valuablecock
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 783
- 802
Sasa kati ya mimi na wewe ni nani aliye lewa? Unaelewa maana ya uhai wewe au umekurupuka kujibu ili uonekana unafanya kazi yako vyema? Hicho ulichoweka hapo ndio uthibitisho wa uhai?Uhai? Mkuu umelewa nini?
Hebu cheki hii feedback
View attachment 444270
Kidogo imeshinda best africa collaboration tizo za AELA
Mkuu ebu tupe mrejesho wa moyo mashine
Unaamini ulichokiandika hapo au?Zote
Team mapovuWe team gani kwanza, tuanzie hapo..!
Kwa hiyo unauliza swali wakati jibu unalo tyariUnaamini ulichokiandika hapo au?
Jibu si ni kwamba hauna budi zaidi ya kuandika vitu vitavyo mfurahisha bosi ili ulinde kibarua.Kwa hiyo unauliza swali wakati jibu unalo tyari
Usifikiri kila aliye apa analipwa ni ushabiki tu next tym think twice kabla hujaropokaJibu si ni kwamba hauna budi zaidi ya kuandika vitu vitavyo mfurahisha bosi ili ulinde kibarua.
Lete wewe uthibitisho wa uhai mimi nimekuwekea mrejesho wa uhai wa wimboSasa kati ya mimi na wewe ni nani aliye lewa? Unaelewa maana ya uhai wewe au umekurupuka kujibu ili uonekana unafanya kazi yako vyema? Hicho ulichoweka hapo ndio uthibitisho wa uhai?
Ni kweli Mavoko ana uwezo mzuri wa kutunga mashairi mazuri, ushahidi ni wimbo wake wa Ibaki Stori - Niwimbo wenye mashairi mengi sana.Richard Mavoko ni mmoja wa waimbaji wazuri sana hapa bongo. Binafsi namkubali sana. Kaka nakushauri tuliza kichwa tunga wimbo mwingine mzuri, wapenzi wako hatujaridhika na wimbo wako wa Kokoro.
Mavoko una nyimbo nyingi nzuri ulizoimba mwenyewe na kushirikishwa ila huu wa sasa mmmmh.
Umepatikana [emoji23] [emoji23]Zote
1.kidogoHivi kwani Diamond ametoa ngapi mwaka huu?
Lina maana ganiKokoro ni neno la ki nigeria
Make me sing sio yake Ni ya A.K.AKatoa nyimbo tatu kW huu mwaka
Make me sing
Kidogo
Salome
Una jingine
ZoteOoh, nilihisi ni nyingi zaidi. Ipi kati ya hizo ulizozitaja imekuwa na uhai wa muda mrefu ukiilinganisha na moyo mashine ya Ben Paul?
Waulize wakenya kule YouTube watakujibuOoh, nilihisi ni nyingi zaidi. Ipi kati ya hizo ulizozitaja imekuwa na uhai wa muda mrefu ukiilinganisha na moyo mashine ya Ben Paul?
PogbaWe team gani kwanza, tuanzie hapo..!
Uhai gani unaoliza ww jamaaSasa kati ya mimi na wewe ni nani aliye lewa? Unaelewa maana ya uhai wewe au umekurupuka kujibu ili uonekana unafanya kazi yako vyema? Hicho ulichoweka hapo ndio uthibitisho wa uhai?