Ushauri wa bure kwa Rich Mavoko

Tatzo ni pale mjinga anapojiona mwelevu ni tatzo sana inakuwa mgumu kumsaidia
Hivi nyie watoto mnafikiri nyie tu ndio mnaoijua teknolojia au ujanjaunjanja? Youtube views, followers wa instagram na mitandao mingine wananuliwa na ni mbinu kabisa ya kujiuza hiyo, sasa hiyo bosheni wapigeni hao wa nje ili wajue wasanii wenu ni noma ila wapenzi wa muziki tutaenda show za wakina Bella na huko hata tukilipa 50000 tunaiona value for money.
 
ha haaa haaaaa comments zako ulikuwa unaficha upo nyuma ya kundi gani!
Ila hapa ndio umeonyesha wivu wa kike tu ndio unakusumbua
 
Muziki biashara sasa Leo rich mavoko akifa maskini atatolewa kasoro kibao. Kokoro imemfungulia milango kijana acha apasue anga kimataifa.

Watanzania hatukosi kasoro haswa kwa watu tusiowapenda.Ukifuatilia nyimbo ya koffie (selfie) mashairi yake yakitafsiriwa kiswahili utajiuliza hii ndio I.Q ya koffie kwenye composition kweli ?lakini hatukujua kaimba nini na bado nyimbo yake ilitusua dunia nzima huku wabongo mkiongoza kwa kuipenda.
Leo unaanzaje kumchukia kijana ambaye anatoka chini kwenda juu.
 
alishauriwa asiende kule jamaa hawana nia njema nae akaona anabaniwa siku hizi anapiga piga kelele tu ujanja ujanja mwingi na mziki wake wa bubble gum.

fans wanamtaka mavoko yule wa Pacha wangu,Roho yangu,Ninaimani,Marry me,Follow me,One time sio huyu kukuru kukuru sijui nyimbo mbovu unategemea kubebwa na video nzuri.
 
Wewe mwenyewe unazo shida kibao....tatua zako kwanza
 
Mzamiaji wa sowetto rudi tu home uko maisha naona yanakuchambua kama karanga
 
alipofika sasa bila kusign wcb asingefika miaka 800. hata Rihana hawezi kutoa nyimbo mpaka Jay Z aseme. it is all about business mkuu, watu wanafanya SWOT analysis before releasing songs, hii ndo maana ya management in music industry
Hivi akili zenu huwa mnaziweka wapi?

Nafikiri Tanzania siyo maskini kama wengi wanavyo dhani, tunakuwa maskini kutoka na iwezo wetu wa kufikiria!

Wew unafikiria rich mavoco kafikia mafanikio yapi?

Usilinganishe ishu ya Rihanna na rich mavoco!

Rihanna anaweza kutoa wimbo 1 kwa mwaka akauza na hela anayo itengeneza ndani ya huo wimbo 1 ni sawa na hela zote za wcb!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…