kabisa kabisa. hata hiyo bado ana nafasi ya kurekebisha mambo yakawa sawa.Ni kweli hakukuwa na sababu ya kumkamata lissu. Hii ccm ina mizizi mikubwa sana. Kuna majimbo mengi mno ni ngome ya ccm, ccm itashinda kwa wingi hata wapinzani wote waunganishe nguvu ccm itashinda tu. Hao wanaomshauri wanampa ushauri mbaya
kwenye kuiombea nchi hapo ungewaelekeza maeneo ya kuombea, ni yepi? kwa sababu katika hali ya kawaida kama kuna watu wanaotenda mabaya yanayoathiri nchi na wananchi, cha kuomba hapo ni Mungu apigane upande wa wanaoonewa tu, huwezi kumuombea dhurumati, mtekaji na muuaji ili aendelee kuua. ni kukimbilia kwa Mungu na kusema ee Mungu, ona watesi wetu wanavyowinda roho za wasio na hatia, pigana upande wetu, tuokoe. tukiomba hivyo, hakika ewe mwanadamu katika maisha yako utakua na nafuu kama utahukumiwa na wanadamu, ukiona Mungu ameingilia kati hukumu yake hautastahimili.Naunga mkono hoja na wale wenyekuskia upako wa kuiombea nchi pia waendelee kuomba, na watuombee nasis tupate mwamko na nguvu za kuimbea nchi yetu.
Hapo nkumwomba Mungukwenye kuiombea nchi hapo ungewaelekeza maeneo ya kuombea, ni yepi? kwa sababu katika hali ya kawaida kama kuna watu wanaotenda mabaya yanayoathiri nchi na wananchi, cha kuomba hapo ni Mungu apigane upande wa wanaoonewa tu, huwezi kumuombea dhurumati, mtekaji na muuaji ili aendelee kuua. ni kukimbilia kwa Mungu na kusema ee Mungu, ona watesi wetu wanavyowinda roho za wasio na hatia, pigana upande wetu, tuokoe. tukiomba hivyo, hakika ewe mwanadamu katika maisha yako utakua na nafuu kama utahukumiwa na wanadamu, ukiona Mungu ameingilia kati hukumu yake hautastahimili.