Ushauri wa bure kwa TFF

Ushauri wa bure kwa TFF

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Kabla ya kuanza kwa kipindi cha michezo kila siku saa mbili asubuhi kuna matangazo ya awali yanayoanza na haya matangazo yana maudhui yanayoashiria kudhalilisha na hayafai kabisa kutangazwa kwa wakati wa sasa.

Utaisikia sauti ya Malinzi ambayo kwa sasa yuko kwenye matatizo na yeyote mwenye nia njema asingependa kusikia sauti yake.

Matangazo kama haya siyo mazuri na yasitishwe mara moja.
 
Back
Top Bottom