Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Inapaswa kwanza kuelewa mna-deal na watu wa aina gani ndio muanze kuchukua actions zenu, maana kuna siku mtakuja kupata hasara kubwa na kuweka nchi yenu rehani.
kwa kuthibitisha hili nadhani mmeona ambacho kimetokea toka janga hili la corona lianze.
Ninaomba kuwahakikishia kuwa hamuiwezi Tanzania kabisa, hivyo jaribio lenu lolote litafeli.
Tokea Tz wapige ban ndege zenu, mmekuwa mnalalamika sana na kuomba suluhu. Swali la kujiuliza kama hamna mnachofaidika na Tanzania kwa nini mnakimbilia sana kuomba suluhu?
Mbona nyie mlivyopiga ban Tanzania hawakukimbilia kuomba suluhu?
Mmekuwa mkiaminishwa kuwa Tanzania kuna corona na mnaamini Tanzania kuna corona sana, sasa kwa nini bado mnaendelea kutaka kuja kwenye hatari ya corona?
Tanzania imefungua shule na vyuo vyote, ila hakuna hata mwanafunzi mmoja alieanguka sababu ya hiyo corona.
Juzi upinzani walimpokea kiongozi wao kwa maandamano na hakuna hata mmoja aliyeathirika ni kitu inaitwa corona, unahisi kama ingekuwepo wapinzani wangekubali kwenda kwenye yale maandamano?
Ni ukweli usiopingika kuwa mnaitegemea sana Tanzania karibu kwa kila kitu na ndio maana maamuzi yoyote ya Tanzania kwenu yanakuwa na impact kubwa sana, kuthibitisha hili hebu ona mnavyohangaika kutaka suluhu.
Mwisho, niwaombe muongee na raisi wenu na mumueleze kuwa Tanzania sio nchi ya mchezomchezo, humu ndani tataparurana wenyewe tutatukanana wenyewe lakini linapokuja swala la mtu wa nje kuleta fyokofyoko basi mjiandae na kila aina ya mashambulizi bila kuchoka.
Wa-nigeria(wa-naija) waliwahi kuanzisha battle na Tanzania kwenye Instagram, nadhani wanajua kilichotokea na sidhani kama watarudia.
Huku kwetu kila siku sherehe, hakuna tena hofu na soon tunaingia kwenye uchaguzi mkuu.
Nyie endeleeni kuwekwa ndani kama mnasubiri kuja kuposwa.
Mtakaa ndani hadi lini?? Hivi hamkuona hata huko US watu walitoka ndani na kufanya maandamano?
Hata juzijuzi tu hamkuona liverpool walivyokusanyana kushangilia ubingwa?
Ina maana hao wote huko ni wajinga na hawajui kitu inaitwa corona?
Na mwaka huu hatuwauzii mahindi, mtachagua kama mtaanza kulima sasa ivi au mtanunua kutoka China