Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,064 Apr 19, 2012 #21 Hii topic nimeiona mara ya kwanza hapa JF mwaka 2010!!! Nashangaa tena inarudiwa rudiwa kila mara!!!
Mohammed Hamad JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 3,988 Reaction score 1,308 Apr 19, 2012 Thread starter #22 barumoja said: we mwenyewe umeshaoa? Click to expand... Long F......... mazee mie dini yangu ipo vere simpo haina vikao vya harusi send off wala kununua koti la babu.
barumoja said: we mwenyewe umeshaoa? Click to expand... Long F......... mazee mie dini yangu ipo vere simpo haina vikao vya harusi send off wala kununua koti la babu.
mamkindi Member Joined Mar 14, 2012 Posts 61 Reaction score 5 Apr 19, 2012 #23 hapo ni kuendela kuwa maskini tu. kwani haiwezekani tukafanya mambo simple. maisha yenyewe magumu. au bora kuwa fisadi ili hayo yote yakamilike.
hapo ni kuendela kuwa maskini tu. kwani haiwezekani tukafanya mambo simple. maisha yenyewe magumu. au bora kuwa fisadi ili hayo yote yakamilike.
Obe JF-Expert Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,083 Reaction score 34,850 Apr 19, 2012 #24 Aiseeeee! Huyu ninayekaa naye asitegemee mimi kuingia gharama hizi, asante kwa ndoa za jumuiya
Obe JF-Expert Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,083 Reaction score 34,850 Apr 19, 2012 #25 Rejao said: Hii topic nimeiona mara ya kwanza hapa JF mwaka 2010!!! Nashangaa tena inarudiwa rudiwa kila mara!!! Click to expand... ....., ilikuwa ni kipindi ndo unajiunga JF, so sioni ubaya ikirudiwa:suspicious:. Heshima kwako mkuu
Rejao said: Hii topic nimeiona mara ya kwanza hapa JF mwaka 2010!!! Nashangaa tena inarudiwa rudiwa kila mara!!! Click to expand... ....., ilikuwa ni kipindi ndo unajiunga JF, so sioni ubaya ikirudiwa:suspicious:. Heshima kwako mkuu